#TAFAKARI YA LEO; KUPATA MUDA ZAIDI…

By | February 26, 2021
Unaweza kupata muda zaidi kwenye siku yako kama utaacha kuhangaika na yale yasiyo muhimu kwako. Kuna mengi unajihangaisha nayo sasa ambayo hayana mchango wowote kwako, mfano kufuatilia maisha ya wengine. Mstoa Marcus Aurelius amewahi kusema yule asiyehangaika na wengine wanafikiri, kusema au kufanya nini, ana muda mwingi wa kuhangaika na

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In