#TAFAKARI YA LEO; UNAPATA UNACHOLENGA…

By | March 1, 2021
Wachezaji wa mpira wa miguu, huwa wanaelekeza mpira kwenye goli la timu pinzani. Siyo mipira yote inaingia na kufunga goli, lakini mara chache mpira utaingia golini na kuwa wamefunga goli, kitu kinachowaweka kwenye nafasi ya kupata ushindi. Kama wataelekeza mipira sehemu nyingine ambayo siyo goli la timu pinzani, hawawezi kushinda

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In