2254; Wakati Sahihi Wa Kuvuka Daraja…

By | March 3, 2021
Ipo kauli ya kihenga inayosema kwamba tunavuka daraja pale tunapolifikia. Ni kauli fupi lakini yenye ujumbe mkubwa mno kuhusu maisha. Mara nyingi huwa tunahangaika na mambo ambayo siyo tu hayapo karibu, bali pia hatuna cha kufanya kuhusu mambo hayo kwa wakati tunasumbuka nayo. Chukua mfano wa ujenzi, kama unajenga nyumba

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In