#TAFAKARI YA LEO; MWILI USITAWALE AKILI…

By | March 4, 2021
Mwili wako huwa haupendi kuchoka wala kuumia, hivyo hutafuta kila mbinu kukwepa kufanya mambo magumu. Hufanya hivyo kwa kuishawishi akili kwamba mambo ni magumu na hayawezekani. Iwapo akili itautii mwili wako, hutaweza kufanya makubwa kwenye maisha yako. Badala yake akili inapaswa kuusukuma mwili uende zaidi, akili inapaswa kuupa mwili nguvu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In