2264; Kutokujua Sheria Siyo Kinga…

By | March 13, 2021
Wanasheria huwa wana msemo kwamba kutokujua sheria siyo kinga ya kutokuhukumiwa na sheria hiyo. Unaweza kuona hilo siyo sawa, lakini ndivyo asili inavyofanya kazi. Maisha yetu yote, tumekuwa tunajifunza kwa kujaribu na kukosea, maana hiyo ndiyo njia pekee tunayoielewa. Ulipokuwa mtoto uliimbiwa sana usichezee moto, lakini hukusikia, mpaka siku ulipokuunguza

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In