#TAFAKARI YA LEO; KULIKIMBIA TATIZO…

By | March 16, 2021
Bondia akiwa ulingoni, anaweza kutumia mbinu ya kumkimbia adui ili kujipa muda wa kumsoma adui na kuweka mkakati wake. Lakini lazima amkabili na kumshambulia kama anataka ushindi. Hawezi kushinda kwa kukimbia pekee na akikimbia sana ataishia kuchoka na kushindwa kirahisi. Hivyo pia ndivyo ilivyo kwa matatizo na changamoto mbalimbali za

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In