#TAFAKARI YA LEO; MARA ZOTE SIMAMA KWENYE UKWELI…

By | March 19, 2021
Hakuna chochote kinachoweza kuhalalisha uongo, iwe unatumika kwa nia njema, matokeo yake huwa ni mabaya. Ni ukweli pekee ulio sahihi na unaomuweka mtu huru. Yeyote anayeweza kutumia uongo mdogo, anaweza kutumia mkubwa pia. Unapotumia uongo kwa sababu unaona ukweli utawaumiza watu, unaishia kuwaumiza zaidi. Ukweli hata ufichwe kiasi gani, haubadiliki,

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In