#TAFAKARI YA LEO; UNACHOJUA NA UNACHOFANYA…

By | March 22, 2021
Matokeo unayopata sasa kwenye maisha yako, siyo ajali wala bahati, bali ni wewe mwenyewe umeyatengeneza. Umeyatengeneza kutokana na kile unachojua na hatua ambazo umekuwa unachukua. Kama unataka kupata matokeo ya tofauti na unayopata sasa, kwanza jifunze vitu vya tofauti na kisha chukua hatua za tofauti. Albert Einstein aliwahi kunukuliwa akisema

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In