#TAFAKARI YA LEO; AFYA…

By | March 26, 2021
Safari ya mafanikio siyo rahisi, inahitaji mapambano makubwa. Hivyo hitaji la kwanza muhimu kwenye safari hii ni mtu kuwa na afya imara. Afya hiyo inahusisha mwili, akili na roho. Akili inafanya maamuzi, roho inakupa msukumo na mwili unayekeleza. Kwenye afya ya akili unapaswa kuilisha maarifa sahihi, roho inahitaji utulivu mkubwa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In