2286; Jua ndiyo litakuangaza bure…

By | April 4, 2021
2286; Jua ndiyo litakuangaza bure… Kwenye kazi au biashara unayofanya, kuna watu waliopiga hatua zaidi yako ambao watataka uwafanyie kazi bure. Watu hao watakutega kwa kukuambia kwamba ukifanya kazi hizo wanazokupa, watakusaidia kujulikana na kuwafikia watu wengi (exposure). Wengi kwa kutamani mafanikio ya haraka, huingia kwenye mtego huo na matokeo

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In