#TAFAKARI YA LEO; KIPIMO CHA UIMARA…

By | April 4, 2021
Uimara wa kitu huwa unapimwa kwa kukipitisha kitu hicho kwenye mazingira magumu kabisa. Mazingira ambayo kitu kisichokuwa imara hakiwezi kuyastahimili. Hivyo pia ndivyo uimara wa watu unavyopimwa, kwa kuwapitisha kwenye mazingira magumu. Unapopitia magumu yoyote, jua hicho ni kipimo cha uimara wako. Unapoamua kufanikiwa, uimara wako utapimwa kwa viwango vya

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In