#TAFAKARI YA LEO; TOA ILI UPATE…

By | April 9, 2021
Watu wengi wanakwama kwenye maisha kwa sababu wanataka kupata kwanza kabla hawajatoa. Mtu anataka kazi imlipe vizuri ndiyo aweke juhudi au biashara impe faida kubwa ndiyo aweke umakini wake mkubwa. Kinachotokea ni hawapati kile wanachotaka. Ili kupata unachotaka, anza kutoa kwanza. Anza kuweka juhudi kubwa kwenye kazi na biashara yako

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In