2294; Tatizo la wataalamu…

By | April 12, 2021
2294; Tatizo la wataalamu… Tafiti nyingi ambazo zimefanywa kwenye ubashiri, kwa kulinganisha wataalamu wa eneo husika na watu wa kawaida, watu wa kawaida wamekuwa wanafanya vizuri kuliko wataalamu. Pia mambo mengi ambayo wataalamu hukadiria au kushauri huwa hayaendi kwa namna walivyoeleza kwa utaalamu wao. Tatizo la wataalamu ni kuwa na

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In