Siyo urefu, bali ujazo.

By | April 18, 2021
“It is not length of life, but depth of life.” – Ralph Waldo Emerson. Siyo urefu wa maisha bali ujazo wake ndiyo muhimu. Siyo miaka mingapi umeishi bali umefanya nini kwenye hiyo miaka ndiyo muhimu. Kuna watu wanaishi miaka 30 na kufanya makubwa mno, huku wengine wakiishi miaka 70 kama

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In