2303; Kujiunga na kundi, kukimbia kundi…

By | April 21, 2021
2303; Kujiunga na kundi, kukimbia kundi… Binadamu huwa hatupendi kuona tunafanya kitu kwa kulazimishwa. Huwa tunapenda kufanya kile ambacho tumechagua wenyewe. Na hiyo ndiyo sababu kwa nini baadhi ya watu wako tayari kufanya mambo ambayo yana madhara kwao, ili tu kuonesha wamechagua wenyewe. Tukiielewa saikolojia hii ya binadamu, itatusaidia kwenye

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In