#TAFAKARI YA LEO; VUNJA MAZOEA…

By | April 23, 2021
Chochote unachorudia kufanya kwa muda mrefu, huwa unakijengea tabia na kuanza kukifanya kwa mazoea. Inafika wakati unakifanya bila hata ya kufikiria kabisa. Ni vizuri kwa akili yako maana inapunguza mengi ya kufanya, lakini ni mbaya kwa ubunifu na ufanisi. Ukishafanya kwa mazoea huwezi kuja na ubunifu mpya. Kwa kuwa mazoea

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In