#TAFAKARI YA LEO; KUMILIKI KAZI…

By | May 3, 2021
Kazi ndiye rafiki wa kweli, rafiki atakayekufikisha kwenye mafanikio makubwa lakini pia asiyekuwa na wivu wala kukatisha tamaa. Lakini kazi zote hazifanani, kuna kuifanya kazi husika, kuyasimamia wanaofanya kazi na kumiliki kazi inayofanyika. Japo zote ni kazi, ila kiwango cha malipo kinatofautiana sana. Wewe kazana uwe mmiliki wa kazi inayofanyika

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In