2318; Kitu rahisi kuahirisha…

By | May 6, 2021
2318; Kitu rahisi kuahirisha… Huwa tunajifunza sana kuhusu madhara ya tabia ya kuahirisha mambo. Pale unapopanga utafanya kitu fulani halafu wakati wa kutekeleza ulichopanga unapofika hufanyi hivyo. Tabia hii ni kikwazo kwa mafanikio ya wengi. Kwa sababu muda unapotea ambao hauwezi kurudi tena. Kuna kitu kingine ni rahisi kuahirisha, lakini

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In