#TAFAKARI YA LEO; FURAHA ISIWE LENGO….

By | May 6, 2021
Njia ya uhakika ya kuikosa furaha ni kuweka malengo ya kupata furaha kupitia yale unayofanya. Utapambana kuyafanya lakini hutapata furaha au ukipata itakuwa ya muda mfupi tu. Furaha haitafutwi au kukimbiliwa, bali furaha huwa inavutiwa na namna mtu anayaishi maisha yake na kufanya mambo yake. Unapojisalimisha kufanya kitu kikubwa kuliko

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In