2320; Unapowashauri wengine, unajishauri

By | May 8, 2021
2320; Unapowashauri wengine, unajishauri mwenyewe… Watu wengi huogopa kutoa ushauri kwa wengine kwa kujiona hawajastahili kufanya hivyo. Wengi hudhani ili uweze kutoa ushauri basi lazima uwe na uzoefu mkubwa kwenye eneo hilo. Lakini hiyo siyo sahihi, unaweza kutoa ushauri hata kama huna uzoefu mkubwa kwenye jambo hilo. Kwa sababu unapomshauri

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In