#TAFAKARI YA LEO; SIYO UNACHOPATA, BALI UNAVYOKUWA….

By | May 8, 2021
Manufaa makubwa ya safari ya mafanikio siyo kile unachopata unapokuwa umefanikiwa, bali aina ya mtu unayekuwa baada ya kuwa umefanikiwa. Safari ya mafanikio itakubadili sana wewe kwa kiwango kikubwa, itakufanya uwe bora kuliko ulivyo sasa. Hivyi kaa kwenye safari hii, siyo kwa sababu utapata vitu fulani, ila kwa sababu utakuwa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In