2321; Usiyazungushe maisha…

By | May 9, 2021
2321; Usiyazungushe maisha… Maisha ni magumu tayari, hivyo usiyafanye kuwa magumu zaidi ya halivyo. Usiyazungushe sana maisha kwa vitu ambavyo viko wazi kabisa. Kama kuna kitu unakitaka, kitake kweli na weka wazi kwamba unakitaka. Usilete michezo au mitego ukitaka wengine waweze kusoma mawazo yako wajue unataka nini. Wewe ndiye wa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In