#TAFAKARI YA LEO; UNACHOWASHAURI WENGINE KINAKUATHIRI NA WEWE…

By | May 9, 2021
Huwa kuna kichekesho cha mtu alienda kuchota maji kisimani akakuta kuna watu wengi. Akatafuta mbinu ya kuwadanganya ili waondoke na aweze kuchota maji. Hivyo akawaambia mbona nyie mko hapa wakati kuna gari linatoa zawadi nzuri liko kule? Watu hao wakamuuliza unasema kweli? Akajibu ni kweli kabisa, wengine wanajipatia zawadi na

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In