#TAFAKARI YA LEO; HUWEZI KUJISIFIA HEKIMA…

By | May 13, 2021
Unaweza ukawaambia watu kwamba umesoma vitabu vingi au unajua mambo mengi sana. Lakini huwezi kuwaambia watu kwamba una hekima kubwa. Hekima ni kitu ambacho watu wanakiona kwako, kutokana na jinsi unavyoyatumia maarifa ambayo umeyapata. Hivyo pata maarifa mengi uwezavyo, ila yatumie kujijengea hekima, kwa kuyaweka kwenye matendo yale uliyojifunza. Hakuna

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In