#TAFAKARI YA LEO; UNAOSTAHILI UNACHOLIPWA…

By | May 18, 2021
Watu wengi huwa wanalalamikia kipato wanachoingiza, wakisema ni kidogo sana na siyo sahihi kwao. Wanaona wanastahili kulipwa zaidi ya hapo. Kwenye uchumi wa soko huria, unastahili kile unacholipwa, hata kama ni kidogo kiasi gani, kwa sababu kinaendana na thamani unayozalisha. Hivyo kama unataka kulipwa zaidi, wajibu wako ni mmoja, zalisha

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In