#TAFAKARI YA LEO; NI VIWANGO ULIVYOJIWEKEA…

By | May 20, 2021
Kile ambacho wengine wanakupa kwenye maisha yako, ni kulingana na viwango ulivyojiwekea wewe mwenyewe. Ukijiwekea viwango vya juu na kuvisimamia, watakupa kadiri ya viwango hivyo. Hakuna anayekudharau au kukutukana kama huvumilii vitu hivyo. Kupata kile unachotaka, jiwekee viwango vyako kisha kataa kabisa kupokea au kuvumilia chochote chini ya viwango hivyo.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In