2334; Ushujaa Siyo Kupambana Pekee…

By | May 22, 2021
2334; Ushujaa Siyo Kupambana Pekee… Watu wengi hudhani ili wawe mashujaa lazima wapambane kwenye kila linalowakabili. Lakini ushujaa siyo kupambana pekee, wakati mwingine kuepuka mapambano ni njia sahihi na yenye manufaa kwako. Sun-Tzu aliyekuwa mwandishi wa kivita wa China ya kale na aliyeandika kitabu cha Art of War alishauri unaposhambuliwa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In