2336; Mtazamo Na Matendo…

By | May 24, 2021
2336; Mtazamo Na Matendo… Wengi husubiri mpaka wawe na mtazamo au hisia sahihi ndiyo wachukue hatua. Husubiri mpaka wawe na hamasa ndiyo waanze kufanya. Lakini hivyo sivyo mambo yanavyofanya kazi. Mtazamo na hisia havitangulii matendo, bali matendo ndiyo yanatangulia mtazamo. Kwa kuchukua hatua, unashawishi mtazamo na hisia zinazoendana na hatua

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In