Mawazo 10 ya kuingiza fedha kupitia kilimo.

By | May 28, 2021
Mawazo 10 ya kuingiza fedha kupitia kilimo. Kilimo ni sekta yenye uhitaji mkubwa kwa sababu ndipo tunapopata chakula. Na kadiri idadi ya watu inavyoongezeka duniani huku watu wakiishi miaka mingi, mahitaji ya chakula yanaongezeka. Hapa ni mawazo kumi ya kuingiza kipato kupitia kilimo. Kuingia shambani na kulima moja kwa moja.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In