#TAFAKARI YA LEO; JINSI YA KWENDA NA WENYE IMANI NA ITIKADI KALI…

By | May 29, 2021
Kwenye maisha yako utakutana na watu wenye imani na itikadi kali juu ya kitu ambacho unajua kabisa siyo sahihi. Ushahidi uko wazi kabisa kwamba wanachoamini watu hao siyo sahihi, lakini bado wanakiamini na kukisimamia. Unaweza kuona ni wajibu wako kuhakikisha unawashawishi waachane na imani hizo, lakini utakuwa umefanya makosa sana

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In