Mawazo 10 ya kuingiza fedha kupitia sanaa.

By | June 1, 2021
Mawazo 10 ya kuingiza fedha kupitia sanaa. Sanaa ni eneo ambalo linawaburudisha watu. Kwa kuwa watu wanapenda burudani, huwa tayari kulipia ili kuipata. Zipo fursa nyingi za kuingiza kipato kupitia sanaa. Hapa ni mawazo kumi unayoweza kufanyia kazi. Kuwa msanii, iwe ni uimbaji, uchoraji, uigizaji n.k. Kuwa meneja wa msanii.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In