#TAFAKARI YA LEO; BILA UKOMO WA MUDA HUTAKAMILISHA KUFANYA…

By | June 1, 2021
Ukomo wa muda ndiyo unaotusukuma kukamilisha kitu, hasa pale tunapokuwa tumewaahidi wengine na kutokukamilisha kwetu kwa wakati kunatugharimu. Kwa kila unachopanga kufanya, jiwekee tarehe kabisa ni lini utakuwa umekamilisha na weka uwajibikaji kwako ili ukamilishe kwenye tarehe hiyo. Nje ya hapo ni vigumu sana kukamilisha chochote kikubwa. Ukurasa wa kusoma

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In