2346; Kabla Hujabishana…

By | June 3, 2021
2346; Kabla Hujabishana… Wengi hupenda kubishana lakini ubishani wao huwa hauna manufaa yoyote kwao. Kwani huwa wanashindwa kuwashawishi wale wanaobishana nao. Huwa nashauri sana watu kuachana na ubishani wa aina yoyote ile. Lakini kuna nyakati ubishani haukwepeki, hasa pale unapotaka kusimamia kile kilicho sahihi. Lipo sharti moja muhimu unalopaswa kutimiza

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In