2348; Kama hawajakuomba, usijisumbue…

By | June 5, 2021
2348; Kama hawajakuomba, usijisumbue… Moja ya kitu nimewahi kuandika na wengi wakauliza kwamba hawakuelewa ni hiki; usitoe ushauri kwa mtu ambaye hajakuomba, usipokee ushauri kwa mtu ambaye hujamuomba. Unaweza kuona kama watu wanahitaji sana ushauri wako, unaona kabisa wanakwenda kukosea na kwa kuwashauri utawasaidia wasiende kuanguka. Lakini unakumbuka umewahi kufanya

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In