#TAFAKARI YA LEO; USHAURI WAKO NI MZURI KWAKO…

By | June 6, 2021
Unaweza kuona una ushauri mzuri sana kwa wengine, lakini tambua siyo wote watakaoona uzuri wa ushauri huo kama unavyouona wewe. Na hata kama watauona huo uzuri, bado siyo wote watakaofanyia kazi ushauri wako. Na kama unawashauri bila ya wao kuomba, ndiyo kabisa hawatajihangaisha na ushauri wako. Watu huwa hawathamini ushauri

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In