#TAFAKARI YA LEO; WANAPOKUKOSOA FURAHI…

By | June 10, 2021
Kwa sababu ni kiashiria kwamba unafanya kitu kikubwa na cha tofauti. Pia ukosoaji wao unakupima kama kweli unakiamini na kukisimamia kile unachofanya. Ukosoaji, upingaji na ukatishaji tamaa wa wengine, ni vitu vyenye manufaa kwako, maana ukiweza kuvivuka, utakuwa imara kupata chochote unachotaka. Ukurasa wa kusoma ni wanaokukosoa wanakusaidia; www.kisimachamaarifa.co.tz/2021/06/09/2352 #NidhamuUadilifuKujituma

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In