2354; Ng’ang’ana na lengo, siyo njia…

By | June 11, 2021
2354; Ng’ang’ana na lengo, siyo njia… Kitu muhimu kabisa na unachopaswa kung’ang’ana nacho kwenye maisha yako ni malengo makubwa uliyonayo. Piga, ua garagaza, hakikisha unapambana kwa kila namna kuyafikia malengo hayo makubwa. Lakini hupaswi kung’ang’ana na njia moja katika kuyafikia malengo yako. Njia zipo nyingi, kuna ambazo ni sahihi na

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In