#TAFAKARI YA LEO; TUMIA AU POTEZA…

By | June 14, 2021
Kuna mambo mengi umewahi kujifunza kwenye maisha yako na kujiambia siku moja utayatumia, lakini umeshayasahau kabisa.Kuna mawazo mazuri yamewahi kukujia na ukajiambia utakuja kuyafanyia kazi ila umeyasahau kabisa.Kama hutatumia mawazo au maarifa unayoyapata wakati bado ni ya moto kabisa, nafasi ya kuyapoteza ni kubwa.Kila unapojifunza kitu, jiulize hapo hapo unawezaje

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In