#TAFAKARI YA LEO; WANAKUKWEPA KIRAHISI…

By | June 15, 2021
Watu huwa siyo wepesi kusema hapana, wanajua wakikuambia hapana watakuumiza. Hivyo wanatafuta kauli ya kukuambia hapana bila kukuumiza. Na kauli rahisi huwa wanakuambia watakutafuta wakiwa tayari. Ukikubaliana na kauli hiyo na kusubiri wakutafute, utasubiri sana na hawatakutafuta. Badala ya kukubaliana nao tu kirahisi, waombe wakuambie lini watakuwa tayari, wakupe tarehe

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In