2360; Unakokimbilia Ni Wapi?

By | June 17, 2021
2360; Unakokimbilia Ni Wapi? Ni rahisi kujikuta ukiharakisha mambo unayoyafanya, lakini umewahi kujiuliza unakokimbilia ni wapi? Hebu fikiria mtu anayeharakisha kufanya kazi yake, anashindwa hata kuifanya kwa umakini, halafu anakokimbilia ni kwenda kubishana. Au fikiria mtu anayeharakisha kumhudumia mteja kwenye biashara, anaharakisha mteja aondoke, ili tu aingie kwenye mitandao na

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In