#TAFAKARI YA LEO; HAKUNA KESHO….

By | June 25, 2021
Unapopanga kufanya kitu, chukuli kwamba hakuna kesho na pambana ukifanye kama ulivyopanga. Ni rahisi kujishawishi na kukisogeza mbele kile ulichopanga kufanya, lakini ukisharuhusu hilo, itakuwa vigumu kwako kufanya kitu hicho. Panga na fanya kama ulivyopanga na kama kutakuwa na usumbufu unaokuzuia usifanye, panga kufanya siku hiyo baada ya usumbufu kuisha

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In