#TAFAKARI YA LEO; UHURU BILA NIDHAMU…

By | June 26, 2021
Uhuru bila ya nidhamu ni sawa na gari bila ya breki, linaweza kukupeleka kasi sana, lakini kasi hiyo itakupoteza kabisa, kwa sababu huna namna ya kulidhibiti gari. Watu wengi wamekuwa wanakimbilia kuwa huru kabla hawajajijengea nidhamu na kinachotokea ni wanapotezwa kabisa na uhuru wanaokuwa wamepata. Wewe pambana kujijengea kwanza nidhamu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In