#TAFAKARI YA LEO; KWA NINI MAFANIKIO SIYO RAHISI?

By | June 28, 2021
Kwa sababu yanahitaji umakini mkubwa ambao wengi hawapo tayari kuuweka. Kwa sababu yanahitaji mtu afuatilie kwa kina kila anachofanya kitu ambacho wengi hawakitaki. Kwa sababu yanahitaji juhudi kubwa ambazo wengi hawapo tayari kuziweka. Na kwa sababu hayataki mazoea, kitu ambacho wengi wanakipenda sana. Huwezi kufanikiwa kwa kufanya vile unavyojisikia kufanya

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In