#TAFAKARI YA LEO; UPO TAYARI KUTOA NINI?

By | July 5, 2021
Wengi wanapoyaangalia mafanikio, wanachoangalia ni wanakwenda kupata nini. Huo ni upande mbaya wa kuangalia maana ndiyo ambao kila mtu anauangalia na ndiyo maana wengi hawafanikiwi. Wewe angalia kwanza upande wa unatoa nini. Uko tayari kutoa nini ili uweze kufanikiwa? Mafanikio siyo rahisi na ndiyo maana wengi hawafanikiwi. Kikwazo kikubwa ni

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In