#TAFAKARI YA LEO; CHAGUA KUWEKEZA VIZURI…

By | July 15, 2021
Muda na nguvu zako ni rasilimali muhimu sana kwako. Namna unavyochagua kutumia rasilimali hizo ni juu yako mwenyewe. Wapo wanaozitumia hovyo na kuzipoteza na wapo wanaozitumia vizuri na kunufaika. Wewe chagua kutumia rasilimali hizo vizuri, kwa kuhakikisha unaziwekeza kwenye kufanya mambo yenye tija kwako na kwa wengine pia. Iwe utachagua

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In