2480; Ishi ulaumiwe, kufa usifiwe.

By | October 15, 2021
2480; Ishi ulaumiwe, kufa usifiwe. Nikiwa kwenye basi safarini niliona igizo moja la kichekesho, lakini pia lenye funzo kubwa. Palikuwa na bwana mmoja ambaye alikuwa na uwezo mkubwa kwenye mtaa wake kuwazidi wengine. Kila mtu kwenye mtaa wake alipopata shida alienda kumwomba msaada. Na yeye hakuwa mtu wa kukataa, pale

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In