2481; Nitafanya wakati mwingine.

By | October 16, 2021
2481; Nitafanya wakati mwingine. Hapana, hutafanya. Ila hutaki kujiumiza kwa kujiambia kwamba hutafanya. Hivyo unachagua kujidanganya ili ujisikie vizuri. Lakini kujisikia vizuri bila ya kupata unachotaka haina tofauti na kutumia kilevi. Unapata raha kwa muda, ila hakuna kinachobadilika kwenye maisha yako. Kuyabadili maisha yako, lazima uchague kufanya kitu, siyo kutaka

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In