2482; Madeni.

By | October 17, 2021
2482; Madeni. Wengi wakisikia madeni huwa wanawaza fedha. Pale wanapokuwa wanadaiwa fedha na watu au taasisi fulani. Lakini madeni ni dhana pana. Chochote ambacho ulipaswa kufanya kwa wakati fulani na hukufanya, kinakuwa deni. Na deni lolote ni kikwazo kwenye safari ya mafanikio. Kama hupati muda wa kutosha wa kulala, unakuwa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In