2513; Ubinafsi wa watu.

By | November 17, 2021
2513; Ubinafsi wa watu. Watu watakujali na kuwa wema kwako pale wanapokuwa na kitu wanachokihitaji kutoka kwako. Pale unapokuwa una matumizi kwao, watakujali sana. Lakini unapokuwa huna manufaa kwao, wanapokuwa hawana chochote wanachohitaji kutoka kwako, hawatakujali wala kuwa wema kwako. Watakudharau na kukupotezea. Hilo linaweza kukuumiza, kukukasirisha na kukufanya uwe

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In