#SheriaYaLeo; Badilika kuanzia ndani kidogo kidogo.

By | November 25, 2021
#SheriaYaLeo; Badilika kuanzia ndani kidogo kidogo. Sisi binadamu huwa tunahangaika na yale tunayoweza kuona kwa macho yetu. Tunapoangalia mabadiliko kwenye maisha ya wengine, tunaona bahati nzuri ambayo mtu aliipata kwa kukutana na mtu aliyemsaidia sana. Tunaona miradi iliyomletea mtu fedha na umaarufu. Kwa maneno mengine tunaona manadiliko yanayoonekana kwa nje.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In